|
|
 |
|
Maana
-
“Tathmini ni hatua ya kwanza ya Modeli Daraja ya Kuelekea Kwenye Ujuzi. Watu hutathmilni fasihi, sanaa, asili na habari katka dunia yote kwa kupitia miundo mingi, kati ya hizo ni simulizi, filamu, michoro, na sehemu za asili, miziki, vitabu, jarida, mitandao na video, na kadhalika. Tathmini mara nyingi huendeleza uchunguzi na mafikirio, amabao unaweza kuwa ni utangulizi mzuri katika hatua ya kugundua kupitia shughuli za kutafuata. Wakati wanafunzi wanapitia katika hatua ya kutafuta habari kutathmini kwa kunakua na kuendelea. Kila mara mchunguzi anahitaji la habari au anatafuta habari kutokana na maswali ya utafiti aliyonayo anaweza au asiweze kujihusisha na hatua ya Modeli ya Daraja la kuelekea kwenye Ujuzi. Kwa njia nyingine, shughuli za kutafuta habari inaweza ikasaidiwa kama mbini za kutathmini ndio chanzo kuelekea hatua nyingine”.
Note:
Pathways to Knowledge
(www.pathwaysmodel.com),
by M.L. Pappas and A.E. Tepe, 1997, is used with
permission from Follett Software Company. Copyright
by Follett Software Company, 1391 Corporate Drive,
McHenry, Illinois 60050.
Kaguo Orodha ya Tabia zinazoonekana
__1. Kusikiliza
__2. Kuhisia
__3. Udadisi
__4. Fikirio
__5. Kuona
__6. Kusoma
__7. Kuunda
__8. Kuandika
__9. Kujadili
__10. Kusema
__11. Kutathmini
__12. Kufurahia
__13. Kushukuru
Rejeo
-
Pappas,
M.L., & Tepe, A.E. (1997). Pathways to
knowledge : Follett's Information Skills
Model (3rd ed.).
McHenry, IL: Follett Software. Available: http://www.pathwaysmodel.com/the-model/text/appreciation.cfm
- Mfano
-
- Kikundi cha wanfunzi wa shule za sekondari kimetambulishwa katika habari zinahusiana na tabia na kimila ya nchi mbalimabali. Wanafunzi wanasikiliza habari inayotolewa na mwalimu na mgeni kutoka u-China na wanafurahia mifano ya chakula cha kichina ambacho kimetayarishwa na wachian wenyewe. Pia wanaonyeshwa video kuhusu sikukuu za kichina katika nchi mbali mabali. Mwanalimu anataka kuwa fanya wanafunzi wafurahie na kuelewa zaidi hukusu mila za nchi mbalimbali.
|