spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Mawasiliano

 

     Maana

“Hatua ya mawasiliano inamruhusu mtafiti kupanga, kutumia, na kutoa ujuzi unaofaa kutokana na maswali ya awali ya utafiti.  Wanaandaa ujuzi mpya na wanaunda ili wapate zao lake.  Waalimu wenye utaalamu wa maktaba wanatarajiwa kuwapa moyo wanafunzi kuchangua njia na mbinu nzuri za mawasiliano kuliko kuangalia muundo wenyewe wa habari.  Hii itawaruhusu wanafunzi kuweza kuwa na mbinu nyingi za kuwasilisha ujuzi wao pindi wanapowasiliana.”

Note. Pathways to Knowledgetrademark (www.pathwaysmodel.com), by M.L. Pappas and A.E. Tepe, 1997, is used with permission from Follett Software Company. Copyright by Follett Software Company, 1391 Corporate Drive, McHenry, Illinois 60050.

Kaguo Orodha ya Tabia Zinazoonekana

    Kuunda na kuwasilisha elimu mpya

A.  Tumia habari

___1. Panga habari tayari kwa kuwasilisha

___2. Chagua njia zuri ya kuwasiliana

___3. Tumia habari kujibu maswali na kutatua
          matatizo

___4. Tumia mbinu ulizochagua

___5. Ridhisha mahitaji ya habari

___6. Heshimu maandishi ya wasomi

B. Changia Elimu Mpya

__1.  Wasilisha elimu mpya kutumia
         mbinu zilizochaguliwa

__2.  Andaa andiko la kwanza

__3.  Hariri na kurudia

__4.  Nena mawazo yako kupitia
         kuunda, kusema, kumba,
         kuandika nakusanii

__5. Nena mawazo yako kupitia 
         video, ripoti za za utafiti,  
         majaribio, komyuta, 
         mawasilisho, picha za kutembea.

Rejeo

           Pappas, M.L., & Tepe, A.E. (1997).  Pathways to knowledgetrademark: Follett's Information Skills Model (3rd ed.).  McHenry, IL:  Follett Software.  Available: http://www.pathwaysmodel.com/the-model/text/communication.cfm

 
Mfano
 
Wanafunzi wa secondary wanaosoma historia walikuwa wakijifunza kuhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe.  Waligawanyika katika makundi kufanya utafiti wa kuandika tungo, ambayo ingewasaidia wao kujiandaa katika mambo Fulani Fulani zinahusiana na kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe.  Kila kikundi kilikuwa kinatakiwa kuchagua njia nzuri za kuwasilisha habari kwa wanadarasa wao.  Wangechagua kutokana na maigizo, mapambo ya darasani, mingao, video, au miundo mingine au miunganisho ya mbinu zote hizo kwa ajili ya kuwasilisha mbele ya darasa.  Wanafunzi walitakiwa kuunda mazao yao wenyewe na kuwasilisha habari zao mbele ya darasa.    Mtaalam wa maktaba na mwalimu aliwasaidia wanafunsi kutathmini miundo ya habari zao.