spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Tathmini

 

     Maana

Kutathmini kunaweza kukafanyika ama pamoja na rika au mwanadarasa na inaweza kuwa ni mfumo unaoendelea katika modeli ya mipangilio isiyonyooka na inatakiwa kujitokeza kwa hatua maalumu.  Watafiti hutumia marudio ambayoo yanawawezesha kuunda habari zao za kipekee katika hatua za utafutaji wa habari hizo.  Katika kutathmini huku kwa siku baada ya siku na marudi ya siku kwa siku ambapo watafiti wanapata uwezo wa kuwa na mamlaka katika utafiti.  Watafiti pia wanatathmini matokeo au matokeo ya mawasiliano yao ya elimu mpya.”

Note. Pathways to Knowledgetrademark (www.pathwaysmodel.com), by M.L. Pappas and A.E. Tepe, 1997, is used with permission from Follett Software Company. Copyright by Follett Software Company, 1391 Corporate Drive, McHenry, Illinois 60050.
 

Kaguo Orodha ya Tabia Zinazoonekana

    Kufikiri kuhusu mfumo na matokeo

A.  Tathmini Mfumo na Matokeo

__1. Chuja na kutafsiri upya maswali

__2. Tathmini tena na tena mfumo wa habari za
        binafsi

__3. Tathmini matokeo ya mwisho

__4. Kagua umaarufu wa mawasiliano ya ujuzi mpya

__5. Tumia chombo cha kufuatilia (k. v., majarida, 
        vijijarida) kutathmini na kurekebesha mbinu za 
        utafiti

Rejeo

           Pappas, M.L., & Tepe, A.E. (1997).  Pathways to knowledgetrademark: Follett's Information Skills Model (3rd ed.).  McHenry, IL:  Follett Software.  Available: http://www.pathwaysmodel.com/the-model/text/evaluation.cfm

 
Mfano
 
Wanafunzi wa secondary wansoma aina mbalimbali za muziki na kuunda vide kuuhusu maisha ya muziki, na muda.  Mwisho wa  mpango wao, wanafunzi wanatumia majibu na njia walizoziandaa kwa msaada wa mwalimu wao kutathmini habari wakati wakiwa katika hatua ya utafiti, pamoja na kuchagua maneno muhimu, na kufaulu kwao kupata habari, na kufaa kwa habari walizozitafuta na kuzichagua.  Wanafunzi pia wanatumia majibu waliyoaandaa kutathmini video zao za mwisha walioziunda wao na wanadarasa wenzao