spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Fasiri

 

     Maana

Wakati wa hatua ya fasiri, mtafiti atatafakari matumizi ya habari zao na kujaribu kujiuliza maana ya habari hizo kila mmoja kibinafsi. Habari zinahitaji kufasiriwa ili ziwe ujuzi. Hatua ya fasiri inawahusisha watafiti katika hatua za kuchanganua na kutathmini habari na kuona kuwa in umuhimu na matumizi kutokan na maswali yao ya awali kabl aya uchunguzi. Fasiri ni hatua nyingine katika hii njia ya pamoja ambayo ni muhimu san na haifai kusahauliwa. Shughuli za kimafundisho au kipengele kinatakiwa kiundwe ili kimfanye mwanafunzi kujihusisha katika mafkirio ya ndani zaidi na kutatua matatizo. Kama kufikiri kwa umakinifu sio sehemu ya majifunzo, hakuna maana kutafakari habari na watafiti wamekwama katika hatua ya ujuzi wa kujifunza tu" (Papas & Tepe, 1997).

Kwa mfumo wa muhtasari wa habari, Angalia Modeli ya Daraja la Kuelekea kwenye Ujuzi (www.pathwaymodel.com), iliyoandaliwa na M. L. Papas ma A. E. Tepe, 1997, inatumika kwa ruhusa toka Follet Software Company, 1391 Corporate, Drive, McHenry, Illinois 60050.

 

Kaguo Orotha ya Tabia zinazoonekana

Kutathmini matumizi ya habari

Ktafakari ili kupata maana kwa binafsi

A. Kutafakari habari
__1.   Kuhitimisha
__2.   Kutoa maamuzi
__3.   Kutoa ufupisho
__4.   Kuchuja habari (mtazamo,  
          upendeleo, n. k.)
__5.   Kutafakari
__6.   Kupanga habari
__7.   Mazozi ya kutumia habari kama 
          ilivyo desturi
__8.   Kulinganisha na kutofaultisha
__9.   Kuchanganua
__10. Kuhakiki na kuangalia umaarufu 
          wake
__11. Kugawa katika makundi
__12. Kutadhimini habari
__13. Kuelewa chanzo chake
__14. Kuunganisha mafikirio
__15. Kuunda
__16. Kujua mandhari yake na 
          mifanano
__17. Kutadhmini habari na kusaidia 
          au kukanusha matatizo au 
          maswali ya  awali ya uchunguzi.

Marejeo

           Pappas, M.L., & Tepe, A.E. (1997).  Pathways to knowledgeh3: Follett's Information Skills Model (3rd ed.).  McHenry, IL:  Follett Software.  Available: http://www.pathwaysmodel.com/the-model/text/interpretation.cfm  

 
Mfano

Wanfunzi wanaangalia video na kuchunguza athari za machafuko ya hali ya hewa katika bahari. Wanafunzi wanafanya kazi katika vikundi kutafuta chanzo cha machafuko ya hali ya hewa na jinzi ya kuepukana na tatizo hilo. Wanafunzi wanahitimisha kutokana na walichokisoma na kutoa uamuzi wa mwisho katika makundi yao madogo madogo. Kila kikundi kidogo kinachangia kutoa hitimisho lake kwa darasa zima. Darasa linachunguza kwa undani na kufanya mahitimiso kuhusu chanzo cha machafuko ya hali ya hewa. Hatimaye mwalimu anaingizi maamuzi ya mwisho ya darasa zima katika softiware, ambayo latoa milishonyuma kuhusu matatizo na kuwauliza wanafunzi kama tatizo limetatuliwa kweli au watapenda kuangalia mazingira hayo kwa undani zaidi kwa kutumia video na vitabu.